SACCOS NGUVU YA UCHUMI
Naibu Katibu Mkuu Elijah Mwandumbya amesema Serikali itaendelea kuimarisha na kusimamia Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) ili viweze kuchochea kasi katika shughuli za… Soma Zaidi
TAASISI ZA USHIRIKA, BIMA NA FEDHA KWA PAMOJA KUANZA USAJILI WA WAKULIMA WA TUMBAKU TABORA
Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Shirikisho la Vyama vya Ushirika (TFC), Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Konsotia ya Bima za Kilimo (TAIC), taasisi za… Soma Zaidi
HAKIKISHENI WANAUSHIRIKA WANAPATA MIKOPO YA RIBA NAFUU KUPITIA BENKI YA USHIRIKA - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Benki ya Ushirika Tanzania (Coop Bank) kuhakikisha inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa… Soma Zaidi
SERIKALI ITAENDELEA KUSIMAMIA USHIRIKA - WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema kuwa Serikali itaendelea kusimamia Ushirika hapa nchini na kuhakikisha Ushirika unamwinua Mkulima na… Soma Zaidi