Habari na Matangazo

TAFITI ZIJIBU CHANGAMOTO ZA SEKTA YA USHIRIKA - KM KILIMO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli, amewataka Wataalamu  pamoja na Wanaushirika kutumia Tafiti za Ushirika   kutatua changamoto za Sekta ya Ushirika. Ametoa agizo hilo wakati…

Soma Zaidi

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO YA KAKAO KUPITIA USHIRIKA KUFIKIA TAREHE 26 MEI,2024

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO YA KAKAO KUPITIA USHIRIKA KUFIKIA TAREHE 26 MEI,2024

Soma Zaidi

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO YA UFUTA KUPITIA USHIRIKA KUFIKIA TAREHE 26 MEI,2024

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO YA UFUTA KUPITIA USHIRIKA KUFIKIA TAREHE 26 MEI,2024

Soma Zaidi

RC DODOMA AWATAKA VIONGOZI NA WANAUSHIRIKA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU KATIKA UENDESHAJI WA VYAMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka viongozi na Wanaushirika kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu za Ushirika katika uendeshaji wa vyama  ili kujenga Ushirika Imara wenye nguvu…

Soma Zaidi

WANAUSHIRIKA JIJINI DODOMA WAJENGEWA UWEZO

WANAUSHIRIKA JIJINI DODOMA WAJENGEWA UWEZO Wanaushirika na wakazi wa Jiji la Dodoma wamepata fursa ya kujengewa uwezo katika maeneo mbalimbali kupitia mafunzo, maonesho pamoja na majadiliano yanayofanyika…

Soma Zaidi

Mauzo ya Ufuta

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO KUPITIA USHIRIKA KUFIKIA TAREHE 20 MEI, 2024

Soma Zaidi

WAZIRI MKUU AMEWATAKA WAKULIMA KUHAKIKISHA WANAPELEKA KAKAO SAFI KATIKA MAGHALA

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewataka wakulima kuhakikisha wanapeleka Kakao safi katika maghala na waache kuchanganya na takataka kwani inaharibu sifa ya zao hilo inaposafirishwa nje ya nchi. Ametoa…

Soma Zaidi