VYAMA VYA USHIRIKA VISAIDIE KUINUA UCHUMI WA WANACHAMA WAKE - RAS MOROGORO
Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, ametoa wito kwa viongozi wa Vyama vya Ushirika kufanya shughuli zao kwa lengo la kuwainua kiuchumi wanachama na kuacha kujinufaisha wenyewe. Dkt. Mussa…
Soma Zaidi



_230_170shar-50brig-20_c1.jpg)
