Habari na Matukio

KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuelekea kilele cha siku ya Wanawake Duniani, Watumishi Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania wameshiriki Kongamano la Kanda ya Kati( Singida, Dodoma na Iringa) Kongamano hilo lililokuwa na Mada…

Soma Zaidi

DKT. NDIEGE AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUZIBA MIANYA YA RUSHWA

Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa rai kwa Maafisa Ushirika Nchini kuwa waadilifu na kuziba mianya ya rushwa katika Utendaji kazi wao. Amesema…

Soma Zaidi
Kaimu Naibu Mrajis Consolata Kiluma (wa kwanza kulia) na Maafisa Ushirika Kanda ya Kasakazini waunga Mkono Serikali kuutangaza Utalii, Tarangire Mkoani Manyara

TCDC YAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUTANGAZA UTALII NCHINI

Kaimu Naibu Mrajis - Uhamasishaji, Consolata Kiluma, amesema kuwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inaunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita katika kutangaza utalii nchini kupitia…

Soma Zaidi

MAAFISA USHIRIKA KANDA YA KASKAZINI WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa ya Manyara, Mhe. Queen Sendiga ametoa rai kwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika kufanya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama vya Ushirika kama ambavyo wanapatiwa mafunzo Maafisa Ushirika. Amesema Maafisa…

Soma Zaidi

KIKAO CHA AWALI CHA MAANDALIZI YA TAARIFA YA UTENDAJI WA SACCOS KWA MWAKA 2024, CHAFANYIKA JIJINI DODOMA.

Naibu Mrajis - Udhibiti,  Collins Nyakunga, amewataka Watendaji wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) nchini kuhakikisha wanawasilisha taarifa za Vyama vyao ikiwemo kujaza madodoso…

Soma Zaidi

BENKI YA USHIRIKA SASA IPO SOKONI - MD CBT

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika Tanzania (CBT), Godfrey Ng'urah, amesema Benki ya Ushirika ipo sokoni sasa na itakuwa Benki itakayoongoza kutoa Huduma Bora za kibenki kidijitali na kuchochea …

Soma Zaidi
Mrajis Dkt. Benson Ndiege na Mkuu wa Chuo cha Mipango Prof. Hozen Mayaya baada ya kusaini Randama ya Makubaliano (MoU) Jijini Dodoma hivi karibuni

TCDC YAINGIA MAKUBALIANO NA CHUO CHA MIPANGO

Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imesaini Randama ya makubaliano (MoU) na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Januari 27, 2025 Jijini Dodoma katika kuongeza wigo wa ushirikiano na Wadau kwa ili…

Soma Zaidi