Habari na Matukio

TCDC KATIKA MAONESHO YA 46 YA KIMATAIFA YA BIASHARA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inashiriki Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yaliyoanza rasmi tarehe 28 Juni, 2022 hadi 13 Julai, 2022. Kupitia Maonesho hayo yanayoendelea ndani ya viwanja…

Soma Zaidi

NITAULINDA USHIRIKA KWA KUWA NDIYO MFUMO WA KUMKOMBOA MNYONGE - WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amesema ataulinda na kuutetea Mfumo wa Ushirika popote kwa kuwa ndiyo mkombozi kwa watu wanyonge. Mhe. Bashe amesema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya…

Soma Zaidi

MCHAKATO WA UANZISHWAJI BENKI YA USHIRIKA  UFANYIKE MAPEMA - DKT. ISHENGOMA

MCHAKATO WA UANZISHWAJI BENKI YA USHIRIKA  UFANYIKE MAPEMA - DKT. ISHENGOMA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo, Ufugaji na Maji,  Mhe. Dkt. Christine Ishengoma amesema; ili kuongeza tija…

Soma Zaidi

KONGAMANO LA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA LAFANYIKA KWA MAFANIKIO

KONGAMANO LA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA LAFANYIKA KWA MAFANIKIO Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe leo tarehe 30 Juni, 2022 amefungua Kongamano la Mfumo wa Stakabadhi za…

Soma Zaidi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian amewataka Wanawake nchini kujiunga katika Vyama vya Ushirika ili kuwawezesha kupata Mitaji na kuanzisha biashara mbalimbali ikiwemo Viwanda…

Soma Zaidi

TCDC NA NMB ZAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WA MAGHALA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA

TUME YA USHIRIKA NA BENKI YA NMB ZAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WA MAGHALA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeingia Randama ya Makubaliano na Benki ya NMB kushirikiana…

Soma Zaidi

TANGAZO LA NAFASI ZA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inawatangazia Watumishi wa Umma kuwepo kwa nafasi wazi 19 za kuhamia katika kada mbalimbali. Nafasi hizi zinategemewa kujazwa katika Ofisi za Tume Makao Makuu -…

Soma Zaidi