Habari na Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee akizungumza katika Kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa saba inayolima zao la Pamba hapa nchini

WAKUU WA MIKOA SABA WAJADILI MAENDELEO YA ZAO LA PAMBA

Kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa saba inayolima zao la Pamba hapa nchini pamoja na Wakuu wa Wilaya, Wabunge, viongozi wa vyama vikuu vya ushirika na Wadau wa Pamba nchini kimefanyika tarehe 13 Desemba, 2022 …

Soma Zaidi
Viongozi walioshiriki katika   Makabidhiano ya mali za uliokuwa ushirika wa Mara Cooperative Union (1984) Ltd kwa Vyama Vikuu vya Ushirika vya PAMBA MARA na  WAKULIMA WA MARA

MALI ZA ILIYOKUWA “MARA COOPERATIVE UNION (1994)  LTD” ZAKABIDHIWA KWA VYAMA VYA USHIRIKA WA WAMACU LTD NA PMCU LTD

Makabidhiano ya mali za uliokuwa ushirika wa Mara Cooperative Union (1984) Ltd kwa Vyama Vikuu vya Ushirika vya PAMBA MARA na  WAKULIMA WA MARA  yamefanyika tarehe 12 Desemba, 2022 katika Kiwanda cha…

Soma Zaidi

SHINYANGA YATOA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WA PAMBA

Ofisi ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga imeanza utekelezaji wa Program ya mafunzo kwa vitendo yanatolewa kwa watendaji wa Vyama vya Ushirika vinavyojishughulisha na kilimo cha…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA HAKIKISHENI MIZANI ZINAKAGULIWA NA WAKALA WA VIPIMO - MRAJIS

Mrajis wa Vyama Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amezitaka Bodi na Menejimenti  za Vyama Vya Ushirika kuhakikisha mizani zote zimekaguliwa na Wakala…

Soma Zaidi
Viongozi wa TANECU LTD wakiwa katika picha ya pamoja na Mrajis wa vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mtendaji wa (WRRB) na Mkurugenzi Mtendaji (NIC)

VIONGOZI WA VYAMA VIKUU WATAKIWA KUWA WABUNIFU NA KUTAFUTA MASOKO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege, amewataka Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika (UNION) kuwa wabunifu katika kuwahuduma wakulima na kuacha…

Soma Zaidi
Naibu Mrajis Colins Nyakunga akizungumza katika kikao cha Wafilisi wa Vyama vya Ushirika vilivyofutwa katika Mikoa ya Tanzania Bara

MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUFUATA MAADILI YA KAZI ZAO

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika anayesimamia Udhibiti, Colins Nyakunga amewataka Maafisa Ushirika kufanya kazi kama Maadili ya Kazi zao yanavyowaelekeza  katika Utendaji. Bw. Nyakunga meyasema hayo…

Soma Zaidi

MFUMO WA USIMAMIZI WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA UTAENDA KUIMARISHA VYAMA

Mfumo wa usimamizi wa Vyama vya Ushirika ulioanzishwa na Serikali kupitia Tume Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) utaenda kuimarisha vyama vya ushirika. Mwakilishi wa Katibu Tawala ambaye pia ni Katibu…

Soma Zaidi

WATOA HUDUMA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUWA NA VIBALI

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa wito kwa makampuni ya watoa huduma kwenye Vyama vya Ushirika wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo…

Soma Zaidi