Habari na Matukio

BENKI YA USHIRIKA SASA IPO SOKONI - MD CBT

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika Tanzania (CBT), Godfrey Ng'urah, amesema Benki ya Ushirika ipo sokoni sasa na itakuwa Benki itakayoongoza kutoa Huduma Bora za kibenki kidijitali na kuchochea …

Soma Zaidi
Mrajis Dkt. Benson Ndiege na Mkuu wa Chuo cha Mipango Prof. Hozen Mayaya baada ya kusaini Randama ya Makubaliano (MoU) Jijini Dodoma hivi karibuni

TCDC YAINGIA MAKUBALIANO NA CHUO CHA MIPANGO

Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imesaini Randama ya makubaliano (MoU) na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Januari 27, 2025 Jijini Dodoma katika kuongeza wigo wa ushirikiano na Wadau kwa ili…

Soma Zaidi

WAZIRI BASHE AHIMIZA BIMA YA MAZAO KUONGEZA TIJA KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema Bima ya Mazao itasaidia Wakulima kuondokana na Vihatarishi  kabla na Baada ya kuvuna mazao ya Wakulima ili  kuzalisha kwa tija na kuongeza kipato…

Soma Zaidi

TCDC NA CBE ZADHAMIRIA KUTOA MAFUNZO YA KUENDESHA USHIRIKA KIBIASHARA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amesema Tume imedhamiria kushirikiana na Wadau  kukuza na kuendeleza Ushirika ili  uweze kuendeshwa…

Soma Zaidi

SACCOS TUMIENI MIFUMO YA KIDIGITALI - NAIBU WAZIRI SILINDE

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo(SACCOS) kuendelea kutumia mifumo ya Kidigitali mbalimbali iliyopo sokoni inayoendana na uwezo wa Kifedha wa…

Soma Zaidi