Habari na Matukio

KIKAO KAZI CHA MAFUNZO KWA WATEKELEZAJI WA SHERIA YA USHIRIKA

Kikao kazi cha Mafunzo kwa watekelezaji wa Sheria ya Ushirika  kutoka Ofisi za Wakuu wa Mikoa yote nchini kimefunguliwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika…

Soma Zaidi

TCDC YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM WA KIJIJI CHA MATUMAINI,  DODOMA

KATIKA kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani, Tume  ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania  (TCDC) imetoa msaada wa chakula, mafuta, Pempers na sukari  kwa watoto wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya…

Soma Zaidi

VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MAMCU NA TANECU VYATOA MILIONI 100 KUCHANGIA ELIMU, MTWARA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti, amepokea Shilingi Milioni 100 kutoka Vyama Vikuu vya Ushirika vya MAMCU na TANECU kwa ajili ya kuboresha Elimu mkoani Mtwara. Akipokea fedha hizo…

Soma Zaidi

BENKI YA USHIRIKA KILIMANJARO YAADHIMISHA MWAKA MMOJA KWA MAFANIKIO

Benki ya Ushirika  Kilimanjaro (KCBL)  Alhamis, Februari 03, 2022 imeadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa  kwake, ambapo Benki hiyo imefanikiwa pamoja na mambo mengine kutoa mikopo kwa…

Soma Zaidi

Wito Watolewa Ushirika Kuongeza Kasi Ya Viwanda

Wito Watolewa Ushirika Kuongeza Kasi Ya Viwanda  Vyama vya Ushirika vimetakiwa kuendeleza viwanda vinavyochakata bidhaa zinazozalishwa na Vyama hivyo kwa kuongeza thamani ya mazao yake ili kuweza…

Soma Zaidi