Habari Zinazojiri

CHAMA CHA USHIRIKA UDURU WANASHINDA KESI, SHAMBA LARUDISHWA RASMI

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Hassan Bomboko, amesema kuwa, shamba la Chama cha Ushirika Uduru Makoa lenye ukubwa wa ekari 358 limepokelewa rasmi na chama hicho baada ya kushinda… Soma Zaidi

TCDC NA AGRI-GRADE WASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA UTENDAJI(MOU)

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege amesema Tume itaendelea kuimarisha na  kuboresha Sekta ya Ushirika kwa Ushirikiano na… Soma Zaidi

WAZIRI MAVUNDE AVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUWA NA USHIRIKA UNAOJIBU MAHITAJI YA WANANCHI

Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, amevitaka Vyama vya Ushirika nchini kuwa na Ushirika unaojibu mahitaji ya wananchi kiuchumi na kijamii. Hayo yamebainishwa  wakati wa… Soma Zaidi