SHINYANGA YATOA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WA PAMBA

Ofisi ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga imeanza utekelezaji wa Program ya mafunzo kwa vitendo yanatolewa kwa watendaji wa Vyama vya Ushirika vinavyojishughulisha na kilimo cha…

Soma Zaidi
Mtendaji Mkuu TCDC Dkt Benson Ndiege(wapili kulia) akifungua Ghala la Namitili AMCOS Tunduru

VYAMA VYA USHIRIKA HAKIKISHENI MIZANI ZINAKAGULIWA NA WAKALA WA VIPIMO - MRAJIS

Mrajis wa Vyama Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amezitaka Bodi na Menejimenti  za Vyama Vya Ushirika kuhakikisha mizani zote zimekaguliwa na Wakala…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA HAKIKISHENI MIZANI ZINAKAGULIWA NA WAKALA WA VIPIMO - MRAJIS

Mrajis wa Vyama Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amezitaka Bodi na Menejimenti  za Vyama Vya Ushirika kuhakikisha mizani zote zimekaguliwa na Wakala…

Soma Zaidi
Viongozi wa TANECU LTD wakiwa katika picha ya pamoja na Mrajis wa vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mtendaji wa (WRRB) na Mkurugenzi Mtendaji (NIC)

VIONGOZI WA VYAMA VIKUU WATAKIWA KUWA WABUNIFU NA KUTAFUTA MASOKO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege, amewataka Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika (UNION) kuwa wabunifu katika kuwahuduma wakulima na kuacha…

Soma Zaidi
Naibu Mrajis Colins Nyakunga akizungumza katika kikao cha Wafilisi wa Vyama vya Ushirika vilivyofutwa katika Mikoa ya Tanzania Bara

MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUFUATA MAADILI YA KAZI ZAO

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika anayesimamia Udhibiti, Colins Nyakunga amewataka Maafisa Ushirika kufanya kazi kama Maadili ya Kazi zao yanavyowaelekeza  katika Utendaji. Bw. Nyakunga meyasema hayo…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KULIPA FEDHA ZA MAUZO YA KOROSHO KWA WAKATI

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ameagiza Vyama vya Ushirika kulipa fedha za mauzo ya Korosho kwa wakulima na kwa…

Soma Zaidi

WASIMAMIZI WA MAGHALA WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA TARATIBU ZA UENDESHAJI WAKE

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Usamamizi wa Stakabadhi za Ghala, Asangye Bangu amewataka wasimamizi wa maghala kuhakikisha wanafuata sheria na utaratibu wa uendeshaji wa maghala hayo. Ametoa Kauli…

Soma Zaidi

WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA VYAMA VYA USHIRIKA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika  Tanzania, imewahamasisha wakulima wa mbogamboga na matunda kujiunga na vyama vya Ushirika ili kuleta tija katika shughuli za uzalishaji na kujikwamua kiuchumi. Ushauri huo…

Soma Zaidi