Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TCDC IMEDHAMIRIA KUBORESHA MFUMO WA USHIRIKA - NSEKELA

Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania( TCDC), Abdumajid Nsekela, amesema TCDC imedhamiria kuboresha mfumo wa Ushirika na kuwa wa kibiashara na kisasa zaidi.Amesema lengo ni kuongeza ushiriki wa…

Soma Zaidi

MFUMO WA KUSAJILI WAKULIMA WA PAMBA KIDIGITALI WAANZISHWA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kushirikisha na Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) wameanzisha Mfumo wa kusajili wakulima…

Soma Zaidi

KAMPUNI ZA UNUNUZI WA MAZAO ZATAKIWA KUTEKELEZA AHADI ZAO KWA JAMII

Ahadi ziwe kisheria na maandishi, kurahisisha ufuatiliaji Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amewataka viongozi wa Vyama Vikuu…

Soma Zaidi

WAKULIMA WA TUMBAKU WALIME NA MAZAO MENGINE - WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amewataka wadau wa zao la Tumbaku nchini kuwahamasisha wakulima wa zao hilo kulima mazao mengine kwenye maeneo yao badala ya kutegemea Tumbaku peke yake. Waziri Bashe…

Soma Zaidi
Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Husein Bashe akizungumza na Wanachama wa ISOWELO AMCOS katika Kijiji cha Mtwango Njombe.

SERIKALI YAAHIDI KUJENGA GHALA “ISOWELU AMCOS”

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeahidi kujenga Ghala la kuhifadhia Viazi kwa  Chama cha Msingi cha Ushirika ISOWELU AMCOS kilichopo mkoani Njombe.Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe ametoa…

Soma Zaidi

BODI ZA VYAMA VYA USHIRIKA ZATAKIWA KUSIMAMIA IPASAVYO VYAMA VYAO

Wajumbe wa Bodi za Vyama vya Ushirika wametakiwa kusimamia ipasavyo Vyama Vyao ili mali na Wanaushirika ziweze kutumika kuwaletea maendeleo na kuvifanya VYama hivyo kuwa endelevu na kuaminika kwa wadau…

Soma Zaidi
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mwenye Kofia Kati) akizungumza na Meneja wa Kampuni ya ETG Mkoa wa Ruvuma. Vishnu Vardhan (Kushoto) alipotembelea Ghala lililohifadhiwa Mbolea za Kampuni hiyo akiwa kwenye ziara ya kukagua shughuli za Kilimo Mkoani Ruvuma.

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUSHIRIKI KUSAMBAZA MBOLEA KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo, Mhe. Husein Bashe ameagiza Vyama Vikuu vya Ushirika Mkoani Ruvuma kuanza kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa wanachama na wakulima kwa ujumla. Waziri Bashe ametoa…

Soma Zaidi

KUWENI WAADILIFU KATIKA UTENDAJI WA KAZI - DKT. NDIEGE

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt.Benson Ndiege, amewataka watumishi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia…

Soma Zaidi