Habari na Matukio

WANAUSHIRIKA JIJINI DODOMA WAJENGEWA UWEZO

WANAUSHIRIKA JIJINI DODOMA WAJENGEWA UWEZO Wanaushirika na wakazi wa Jiji la Dodoma wamepata fursa ya kujengewa uwezo katika maeneo mbalimbali kupitia mafunzo, maonesho pamoja na majadiliano yanayofanyika…

Soma Zaidi

Mauzo ya Ufuta

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO KUPITIA USHIRIKA KUFIKIA TAREHE 20 MEI, 2024

Soma Zaidi
MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika  kushirikiana na Wawekezaji kwa maslahi ya Wanaushirika kwa kufuata Miongozo ya Uwekezaji. Dkt.…

Soma Zaidi
MIKATABA YA USHIRIKA IFANYIKE KWA UWAZI - MRAJIS

MIKATABA YA USHIRIKA IFANYIKE KWA UWAZI - MRAJIS

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amevitaka Vyama vya Ushirika kufanya Mikataba kwa uwazi kwa kuhusisha wadau husika na Mikataba hiyo ili kuepusha…

Soma Zaidi
WATUMISHI WANAWAKE WA TCDC WAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE WA DODOMA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

WATUMISHI WANAWAKE WA TCDC WAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE WA DODOMA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Watumishi Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania wameungana na wanawake wengine wa Jiji la Dodoma katika kuadhimisha Siku ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka. Maadhimisho…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI, MIONGOZO NA TARATIBU ZA USHIRIKA KATIKA UENDESHAJI

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika -Udhibiti, Collins Nyakunga, ametoa wito kwa Viongozi wa Vyama vya Ushirika Nchini kuhakikisha  wanafuata na kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu za Ushirika pamoja na…

Soma Zaidi
KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI TCDC CHAFANYIKA, MRAJIS AWATAKA WAJUMBE KUJADILI HOJA KWA UWAZI

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI TCDC CHAFANYIKA, MRAJIS AWATAKA WAJUMBE KUJADILI HOJA KWA UWAZI

Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kimefanyika leo Januari 31, Jijini Dodoma, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Mrajis wa Vyama vya Ushirika na…

Soma Zaidi