WARAKA WA MRAJIS NA. 10 KUHUSU KAMPUNI BINAFSI ZA UKAGUZI KURUHUSIWA KUFANYA UKAGUZI WA NJE KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA
Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo(SACCOS) kuendelea kutumia mifumo ya Kidigitali mbalimbali iliyopo sokoni inayoendana na uwezo wa Kifedha wa…
Soma ZaidiMkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Halima Okash amewataka watendaji kusimamia ipasavyo miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Chemba ili kuendana na kasi ya utendaji wa Serikali ya Awamu ya Sita kwa lengo la…
Soma ZaidiWaziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Benki ya Ushirika Tanzania itakuwa ni Benki ambayo itaongozwa na misingi ya Kibiashara ili kuleta tija na maendeleo kwa Wanaushirika na Taifa kawa…
Soma ZaidiViwango sawa vya utendaji na utoaji wa huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) vimetajwa kuwa chachu ya kuimarisha usimamizi na upimaji wa Vyama hivyo katika maeneo mbalimbali…
Soma ZaidiChama Kikuu cha Ushirika cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na Ushirika imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu shilingi bilioni 3.4. Kiwanda hicho…
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, ametoa wito kwa Wananchi kutumia Huduma rasmi za Kifedha zilizosajiliwa na zenye kutambuliwa ili kuepuka usumbufu unaotokana na huduma za Mikopo yenye kuumiza Wananchi…
Soma Zaidi