Habari na Matangazo

MFUMO WA TEHAMA WA UENDESHAJI NA UTOAJI HUDUMA ZA SACCOS WAZINDULIWA

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amevitaka Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kutumia mifumo ya Kidijitali katika…

Soma Zaidi
Dkt Emmanuel Lema, (wakatikati),kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Vyama vya Ushirika vya Mbogamboga yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro.

VIONGOZI WA USHIRIKA WATAKIWA KUHAKIKISHA VYAMA VINAKUWA IMARA NA ENDELEVU

Kaimu Katibu Tawala Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Emmanuel Lema, amatoa rai kwa Viongozi wa Vyama vya ushirika kuhakikisha wanachama wao wanamaliza hisa ili kuhakikisha Vyama vinakuwa imara na…

Soma Zaidi

MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO YA MAZAO YA UFUTA NA KAKAO KUFIKIA 09 JUNI 2024

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA MASOKO NA MAUZO YA MAZAO YA UFUTA NA KAKAO KUFIKIA TAREHE 09 JUNI, 2024

Soma Zaidi

MWALIKO WA MNADA WA HADHARA WA UUZAJI WA VIFAA CHAKAVU

MWALIKO WA MNADA WA HADHARA WA UUZAJI WA VIFAA CHAKAVU

Soma Zaidi

VIONGOZI WA BODI ZA VYAMA   WATAKIWA KUTAMBUA WAJIBU WAO KATIKA VYAMA

Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro, Jacqueline Senzighe, amewataka Viongozi wa bodi za Vyama vya Ushirika wa Mbogamboga kutambua wajibu wao katika Vyama na kutowaachia watendaji…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA RUKWA VYAPONGEZWA KWA KUCHANGIA UKUAJI WA SEKTA YA USHIRIKA

Mheshimiwa Peter  Lijualikali, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amevipongeza vyama vya ushirika Mkoani Rukwa kwa kuchangia ukuaji wa Sekta ya Ushirika, ambapo amefurahishwa na utekelezaji wa  kipaumbele cha…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUANZISHA VIWANDA KUCHAKATA MAZAO

Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuwena Omari  ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika Mkoani Lindi kuanzisha Viwanda vya kuchakata mazao ya wakulima ili kuongeza thamani pamoja na kuyatafutia masoko mazao…

Soma Zaidi