TCDC Assistant
Online

Hello. How can we help you today?

Nembo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)
Nembo ya TCDC
Sitemap
ega-svg-tree

Mwenyekiti wa Bodi ya Makamishna wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Abdulmajid Nsekela, amesema sekta ya ushirika ni nguzo muhimu katika kufikia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayolenga kujenga uchumi wa Dola za Marekani Trilioni 1. Dkt. Nsekela ameyasema hayo leo, Agosti 8, 2026 alipotembelea Kijiji cha Ushirika kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Wakulima (Nanenane) Jijini Dodoma. Aidha, alibainisha kuwa hatua inayopigwa...

Soma zaidi

TUWAJIBIKE KULETA UADILIFU KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA  Watendaji na wanaushirika wa Vyama vya Ushirika wameaswa kuwa waadilifu, wawajibikaji na kuzingatia misingi ya utawala bora katika utekelezaji wa majukumu yao, ili kuhakikisha Vyama hivyo vinaendeshwa kwa uwazi, uaminifu na kwa kuzingatia maslahi ya wanaushirika. Wito huo umetolewa leo, Septemba 30, 2026, na Naibu Mrajis Sehemu ya Uhamasishaji, Consolata Kiluma, wakati akifungua...

Soma zaidi

KIKAO CHA 14 CHA KAMISHENI YA TCDC CHAFANYIKA JIJINI DODOMA Kikao cha 14 cha Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kimefanyika leo Agosti 27, 2026 Jijini Dodoma. Kikao hicho kimeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni,Happy Kitingati, na kuhudhuriwa na Makamishna na Menejimenti ya TCDC ikiongozwa na Mrajis na Mtendaji Mkuu wa TCDC, Dkt. Benson Ndiege ambaye ndiye ni Katibu wa Kamisheni. Aidha, Makamishna na Menej...

Soma zaidi

KATIKA KUIMARISHA UWAZI, COASCO YAWASILISHA TAARIFA YA UHAKIKI WA MADENI YA KNCU NA VYAMA VYA MSINGI Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) limewasilisha taarifa ya uhakiki na malinganisho ya madeni kati ya KNCU (1984) Limited na Vyama vya Ushirika vya Msingi wanachama, hatua inayolenga kuimarisha uwazi na uelewa wa pamoja. Taarifa hiyo imesomwa leo, Oktoba 1, 2026, na Mkaguzi wa Mkoa wa Kilimanjaro, CPA Oscar Mw...

Soma zaidi

TCDC YAGONGA HODI NJOMBE. -Yaweka Kambi Kutatua Kero za Ushirika ‘Papo kwa Papo’ Timu ya wataalamu kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), ikiongozwa na Naibu Mrajis - Udhibiti, Collins Nyakunga, leo tarehe 28 Septemba 2026 imewasili Mkoani Njombe kwa ajili ya kuweka kambi maalumu ya kutoa elimu na kutatua changamoto za sekta ya ushirika kupitia kampeni ya “Linda Ushirika, Chagua Uadilifu”. ​Kambi...

Soma zaidi

Kumbukumbu

Mipangilio
Ukubwa wa Maandishi