Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA ‘KIJIJI CHA USHIRIKA’ NDANI YA NANENANE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 08 Agosti, 2023 ametembelea Kijiji cha Ushirika na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Tume ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi

SERIKALI KUONGEZA NGUVU YA USHIRIKA KUJIENDESHA KIBIASHARA

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amesema Serikali itaendelea kuimarisha Ushirika kwa kuongeza tija katika Kilimo kitakachochangia katika kuinua uzalishaji wa mazao na kuongeza nguvu ya Ushirika …

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO VYAASWA KUTOA ELIMU

Mkurugenzi wa Sekta ya Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Saadat Musa ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika kutoa elimu ya Fedha kwa Wanachama na Umma kwa ujumla kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza Sekta ya…

Soma Zaidi

STAKABADHI ZA GHALA KUPAISHA USHINDANI WA SOKO KWA MAZAO YA WAKULIMA

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe, ametoa wito kwa kila Mdau anayehusika katika matumizi na usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kutimiza wajibu wake katika nafasi yake ili…

Soma Zaidi

SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA USHIRIKA

Serikali imesema imedhamiria kuimarisha na kuendeleza azma yake ya kuimarisha, kusimamia na kuendeleza Sekta ya Ushirika nchini kwa lengo la kuondoa umaskini na kujenga uchumi imara wa Wananchi. Naibu Waziri…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Mhe.Zainab Telack (Kushoto) akikabidhi gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi Cecilia Philimini.

MRAJIS MSAIDIZI MKOA WA LINDI AKABIDHIWA GARI KATIKA JUKWAA LA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Mhe. Zainab Telack amekabidhi gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi. Gari Hilo limetolewa na  Tume ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi

WATUMISHI WA TCDC WANG’ARA KWENYE TUZO ZA WAFANYAKAZI BORA MEI MOSI

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini ametoa tuzo kwa wafanyakazi Bora wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) katika Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani ambayo kwa Mkoa wa…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa SIMIYU, Mhe.Dkt.Yahya Nawanda akikabidhi cheti kwa Kiongozi wa Chama cha Ushirika kilichofanya vizuri kwa Mwaka 2023.

MKOA WA SIMIYU WADHAMIRIA KUANZISHA VIWANDA NA KUIMARISHA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Dkt. Yahya Nawanda, amesema Mkoa wa Simiyu umedhamiria kuanzisha viwanda kwa ajili ya kuongeza ajira na kukuza uchumi wa  mkoa na nchi kwa ujumla.Dkt. ameyasema hayo alipokuwa…

Soma Zaidi