Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mwenye Kofia Kati) akizungumza na Meneja wa Kampuni ya ETG Mkoa wa Ruvuma. Vishnu Vardhan (Kushoto) alipotembelea Ghala lililohifadhiwa Mbolea za Kampuni hiyo akiwa kwenye ziara ya kukagua shughuli za Kilimo Mkoani Ruvuma.

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUSHIRIKI KUSAMBAZA MBOLEA KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo, Mhe. Husein Bashe ameagiza Vyama Vikuu vya Ushirika Mkoani Ruvuma kuanza kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa wanachama na wakulima kwa ujumla. Waziri Bashe ametoa…

Soma Zaidi

KUWENI WAADILIFU KATIKA UTENDAJI WA KAZI - DKT. NDIEGE

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt.Benson Ndiege, amewataka watumishi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia…

Soma Zaidi

MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA UTASAIDIA KUIMARISHA USHIRIKA – DC MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dkt. Rashidi Chuwachuwa, amewataka Warajis Wasaidizi wa Mikoa, Maafisa Ushirika, Wenyeviti na Mameneja wa Vyama vya Upili kutumia vizuri mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee akizungumza katika Kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa saba inayolima zao la Pamba hapa nchini

WAKUU WA MIKOA SABA WAJADILI MAENDELEO YA ZAO LA PAMBA

Kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa saba inayolima zao la Pamba hapa nchini pamoja na Wakuu wa Wilaya, Wabunge, viongozi wa vyama vikuu vya ushirika na Wadau wa Pamba nchini kimefanyika tarehe 13 Desemba, 2022 …

Soma Zaidi
Viongozi walioshiriki katika   Makabidhiano ya mali za uliokuwa ushirika wa Mara Cooperative Union (1984) Ltd kwa Vyama Vikuu vya Ushirika vya PAMBA MARA na  WAKULIMA WA MARA

MALI ZA ILIYOKUWA “MARA COOPERATIVE UNION (1994)  LTD” ZAKABIDHIWA KWA VYAMA VYA USHIRIKA WA WAMACU LTD NA PMCU LTD

Makabidhiano ya mali za uliokuwa ushirika wa Mara Cooperative Union (1984) Ltd kwa Vyama Vikuu vya Ushirika vya PAMBA MARA na  WAKULIMA WA MARA  yamefanyika tarehe 12 Desemba, 2022 katika Kiwanda cha…

Soma Zaidi

SHINYANGA YATOA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WA PAMBA

Ofisi ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga imeanza utekelezaji wa Program ya mafunzo kwa vitendo yanatolewa kwa watendaji wa Vyama vya Ushirika vinavyojishughulisha na kilimo cha…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA HAKIKISHENI MIZANI ZINAKAGULIWA NA WAKALA WA VIPIMO - MRAJIS

Mrajis wa Vyama Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amezitaka Bodi na Menejimenti  za Vyama Vya Ushirika kuhakikisha mizani zote zimekaguliwa na Wakala…

Soma Zaidi
Viongozi wa TANECU LTD wakiwa katika picha ya pamoja na Mrajis wa vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mtendaji wa (WRRB) na Mkurugenzi Mtendaji (NIC)

VIONGOZI WA VYAMA VIKUU WATAKIWA KUWA WABUNIFU NA KUTAFUTA MASOKO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege, amewataka Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika (UNION) kuwa wabunifu katika kuwahuduma wakulima na kuacha…

Soma Zaidi