Yanayojiri

Habari Zinazojiri

MRAJIS ATOA WITO KWA AMCOS KUKATA BIMA YA MAZAO

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa wito kwa AMCOS zote nchini kuingia katika mpango maalum wa kukata Bima ya… Soma Zaidi

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Udhibiti, Collins Nyakunga, akizungumza katika kikao kazi baina ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika na Watoa Huduma wa TEHAMA katika Vyama Ushirika wa Akiba na Mikopo.

MIFUMO YA KIDIGITALI YA VYAMA VYA USHIRIKA IUNGANISHWE NA MUVU - NAIBU MRAJIS

Watoa Huduma katika Vyama Vya Ushirika wametakiwa kuhakikisha mifumo yao inaunganishwa na Mfumo wa Kidigitali wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika( MUVU). Wito huo umetolewa na… Soma Zaidi

MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika  kushirikiana na Wawekezaji kwa maslahi ya Wanaushirika kwa kufuata… Soma Zaidi

MIKATABA YA USHIRIKA IFANYIKE KWA UWAZI - MRAJIS

MIKATABA YA USHIRIKA IFANYIKE KWA UWAZI - MRAJIS

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amevitaka Vyama vya Ushirika kufanya Mikataba kwa uwazi kwa kuhusisha wadau husika na… Soma Zaidi

WATUMISHI WANAWAKE WA TCDC WAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE WA DODOMA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

WATUMISHI WANAWAKE WA TCDC WAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE WA DODOMA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Watumishi Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania wameungana na wanawake wengine wa Jiji la Dodoma katika kuadhimisha Siku ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi… Soma Zaidi